Mama Mboga Kenya – Fresh Vegetables & Groceries Near You
Karibu Soko Mashinani – mahali ambapo Mama Mboga wa kweli hupiga hustle!
Hapa unaweza kununua na kuuza mboga mbichi, matunda, na bidhaa za jikoni kutoka kwa wauzaji wa eneo lako.
Bidhaa Maarufu Unazoweza Kupata
- 🥬 Sukuma Wiki, Spinach, Cabbage
- 🍅 Nyanya, Vitunguu, Hoho
- 🍌 Matunda – Maembe, Ndizi, Mananasi
- 🥔 Viazi, Nduma, Mahindi
- 🥕 Karoti, Pilipili, Tunga
Nunua kwa bei nafuu au uza bidhaa zako bila malipo katika Soko Mashinani.
Wanunuzi na wauzaji wanaweza kuwasiliana moja kwa moja – hakuna middleman!
Bei za Mboga na Matunda Kenya
- Sukuma Wiki – KES 10 – 20
- Nyanya – KES 20 – 50 kwa kilo
- Viazi – KES 100 – 150 kwa kilo
- Matunda mchanganyiko – KES 50 – 200
Kwa Nini Kuchagua Soko Mashinani?
- ✅ Tangaza bure – weka bidhaa zako mtandaoni
- ✅ Pata wanunuzi wa eneo lako haraka
- ✅ Soko salama na la kuaminika kwa Wakenya
- ✅ Fursa kwa Mama Mboga na wakulima wa mashinani
Piga Hustle, Pata Deal! Jiunge na Soko Mashinani leo
na uanze kuuza mboga zako mtandaoni kwa urahisi.